Maandalizi ya uzinduzi rasmi — 1 Januari 2027 +255 790 980 123helpdesk@fkf.co.tz
FKF MICRO-CREDIT

Malipo Salama

Fuata kumbukumbu na maelekezo yanayotolewa ndani ya portal au nyaraka rasmi. Usilipe kwenye namba binafsi ya mfanyakazi.

Thibitisha kumbukumbu

Tumia control number au rejea inayoonekana kwenye portal na taarifa rasmi ya malipo.

Lipa kwenye njia rasmi

Hakikisha jina la mpokeaji na kiasi vinafanana na taarifa uliyopewa kabla ya kuthibitisha.

Hakiki risiti

Baada ya malipo, linganisha kumbukumbu ya muamala na risiti ya mfumo.

Onyo: Usifanye malipo kwa namba ya simu au akaunti binafsi ya mfanyakazi. Ukiona tofauti, simamisha muamala na wasiliana na FKF kupitia +255 790 980 123.